Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Fully Developed
Hali ya Maendeleo
Dirt Road
Barabara ya Ufikiaji
Cheti cha Kuishi
Kichwa
200000
Ada ya Agenti
Shamba la eka 50 linauzwa shamba hili lipo kilometa 12 kutoka barabara kuu yakuelekea msata bagamoyo
Shamba hili limegusa mto wami
Upande wa eka zilizo gusa mto ni eka 7
Shamba hili linauzwa lote milioni 75
Kila eka moja inauzwa milioni 1 na laki 5
Tunauza lote halikatwi