tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mbegu na Mbolea
Morogoro, Morogoro Mjini, 29/05
16 maoni

Miche Ya Noni

+1
2
Nyingine
Aina
MICHE YA NONI (Indian Mulberry) Unatafuta mti wa dawa wenye faida lukuki kiafya? Tunakuletea miche ya NONI – maarufu kwa kutibu na kuimarisha afya ya mwili kwa asili kabisa! Mahali Inapostawi: Inastawi vizuri maeneo ya joto na unyevu kama vile: Morogoro Pwani Kigamboni Mikoa ya Pwani, Mashariki na Kati mwa Tanzania Ardhini iliyo na rutuba ya wastani hadi ya kawaida. Muda wa Kuzaa: Mti wa noni huanza kuzaa matunda ndani ya miezi 12 hadi 18 baada ya kupandwa, kulingana na hali ya hewa na matunzo. Unahitaji maji ya kutosha na kuzuia magugu ili ukue kwa haraka. Bei ya mche mmoja: Tsh 10,000/= Tunatuma mikoa yote kwa makubaliano. Wasiliana nasi sasa: Tunapatikana Morogoro mjini – karibu na Nashera Hotel.
Miche Ya NoniMiche Ya Noni
TSh 10,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif