tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mbegu na Mbolea
Morogoro, Morogoro Mjini, 08/06
32 maoni

Giant Passion

+1
1
Nyingine
Aina
Habari, miche ya matunda ya Giant passion inapatikana... Sifa za matunda yake: 1.ni kubwa zaidi ya passion la kawaida. 2.ukubwa wa tunda moja unafikia mpaka 1kg. 3.yana sukari ya kutosha pia hayana uchachu kama passion la kawaida. 4.huchukua almost miezi 8 hadi 12 kuanza kuzaa. 5. Yanakubali kwa maeneo ya joto na baridi pia. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa no Tunapatikana morogoro mjini karibu na nashera hotel.
Giant PassionGiant Passion
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif