tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Huduma
  3. Huduma nyingine
Kagera, Missenyi, 29/10
1 maoni

Chaki Bora

MISSENYI STANDARD CHALKS
Jina la kampuni
KUUZA CHAKI
Aina
MISSENYI STANDARD CHALKS – CHAKI BORA KWA ELIMU BORA! Tunatengeneza na kusambaza chaki bora kwa matumizi ya shule na taasisi za elimu. Huandaa maandishi mazuri ubaoni. Inafaa kwa matumizi ya walimu na wanafunzi. Inapatikana kwa oda za jumla na rejareja. Carton moja ina pakiti 30. Bei: TSh 30,000 kwa carton. Wasiliana nasi: MISSENYI STANDARD CHALKS — Ubora unaoandika mafanikio!
Chaki BoraChaki Bora
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Angalia Maoni ya wengine ili kuhakikisha kuwa mtu huyo anaaminika
  • Fanya maafikano kuhusu majukumu yako na mshahara utakaolipwa
  • Kutana ana kwa ana na mtu katika sehemu salama ya umma
frame_left.gif