tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Kilimo Inauzwa
Bagamoyo, Pwani, Miono, masaa 6 yaliyopita
2 maoni

Shamba Linauzwa

+1
Shamba
Aina
60000sqm
Mita za mraba
Kibiashara
Matumizi ya Sifa
Usambazaji wa Gesi, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Fully Developed
Development Status
Paved Road
Access Road
Government Lease, Cheti cha Kuishi, Certificate of Customary Right of Occupancy
Kichwa
Shamba la mkonge ekari 150 linapatikana kwa mauzo – mihuga, chalinze eneo: mihuga, miono – chalinze, mkoa wa pwani ukubwa wa shamba: ekari 150 umbali: - km 7 kutoka miono - km 21 kutoka barabara kuu ya msata–tanga - gari inafika moja kwa moja hadi shambani hali ya shamba: - ekari 60 tayari zina mkonge - ekari 90 hazina mkonge, lakini shamba lote limeendelezwa na linafaa kwa shughuli za kilimo - mashine ya kuchakata mkonge ipo - hati miliki ipo kwenye mchakato - eneo linafikika kwa gari hadi shambani bei: tsh320,000,000/= bei bado inajadiliwa. karibu
Shamba Linauzwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif