Eneo Lenye Ukubwa Wa SQMT 650 Linauzwa Lipo Boko Dovya Njia Ya Mbweni
1/8
+ 3
picha
Dar es Salaam, Kinondoni, Mbweni, masaa 9 yaliyopita
7 maoni
Eneo Lenye Ukubwa Wa SQMT 650 Linauzwa Lipo Boko Dovya Njia Ya Mbweni
+1
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
650sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Maegesho ya Gari
Vituo vya
Yes
Chaji ya Huduma
40000
Ada ya Utafiti
40000
Ada ya Maendeleo
40000
Ada ya Kisheria
40000
Ada ya Agenti
Sadakalawe hii jamani mtu anashida huku na hela
kiwanja kinauzwa
bei milioni 55
ukubwa wa eneo sqmt 650
kiwanja kipo boko dovya upande wa beach kama unaenda mbweni
kiwanja kimepimwa na kina mawe yenye namba kabisa
ukinunuwa hati linatoka kwa jina la mmiliki mpya
kiwanja kimekamilika kitu na hakina migogoro yoyote
kiwanja kipo sehemu nzuli sana mitaa safi
kiwanja unaweza kuweka apartments au nyumba ya kuishi
nk... ,... ,...
#cal071XXXXXXX