Dar es Salaam, Kinondoni, Mbezi, masaa 16 yaliyopita
10 maoni
Viwanja 25 Kwa Mkuu Wa Wilaya Ubungo
+1
Ardhi ya Biashara
Aina
1000sqm
Mita za mraba
Kibiashara
Matumizi ya Sifa
Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Gesi, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Viwanja 22 Luguruni mbezi viwanja vipo halmashauri ya ubungo tu kutoka Morogoro Road viwanja ni vyakibiashara viwanja vyote ukubwa sawa Qmt 1000
Viwanja kwajili ya kujenga mahoteli Apartment Lodge maofisi vipo kwenye mradi mkubwa wa kiserikari upande vinatazama ofisi ya mkuu wa wiliya upande vinatazama barabarani upande vinatazama ofisi ya manispaa ya ubungo
Viwanja bora kabida