Kiwanja Kinauzwa Mbezi Mwisho Nyumba Ya Magufuli Stendi Kama Km 1
1/9
+ 4
picha
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, Mbezi, 55 min ago
17 maoni
Kiwanja Kinauzwa Mbezi Mwisho Nyumba Ya Magufuli Stendi Kama Km 1
+1
Ardhi ya Makazi
Aina
1245sqm
Mita za mraba
Makazi
Matumizi ya Sifa
Kiwanja kinauzwa Nyuma ya Magufuli stendi.
Minja real estate & Car Broker inakuletea:-
Kiwanja kinauzwa km 1 kutoka Magufuli stendi/ morogoro road.
Kiwanja kina ukubwa wa Sqm 1245.
Kiwanja kina fensi tayari.
Kina HATI safi ya wizara.
Pazuri ukijenga Lodge Yako nzuri kutegea abiria wanaotoka mikoani wanaoshukia Magufuli stendi.
Sasa hivi Bei imepungua hadi imefika mil 120.
MAWASILIANO068XXXXXXX