Dar es Salaam, Kinondoni, Mbezi, siku 1 zilizopita
12 maoni
3bdrm House in Mar Real Estate, Mbezi for Sale
+1
1
Nyumba
3 vyumba vya kulala
bafu 2
mbezi msumi
Anwani ya Mali
mar real estate
Jina la Mtaa
Nyumba
Aina ya mali
Imetumika kwa Haki
Hali
3
Vyumba vya kulala
2
Bafu
Bila samani
Samani
Yes
Nafasi ya Maegesho
500sqm
Ukubwa wa sifa
Nyumba inauzwa nyumba ipo mbezi msumi
Nyumba ni ya vyumba V3 sebule daining jiko stoo public chumba Master
Eneo sqm 500
Bei ni mil 40
Mwenyewe anashida sana tena sana
Nyumba ipo msumi mwisho jilani sana na stendi ya daladala
Daladala 600 tu KUTOKA mbezi ya kimara
Umbali kutoka mbezi stendi ya maghufuli km 9
Na umbali kutoka madale mwisho km 4