Dar es Salaam, Kinondoni, Mbezi Beach, masaa 7 yaliyopita
1 maoni
Plot for Sale in Mbezi Beach
+1
Ardhi ya Biashara
Aina
2250sqm
Mita za mraba
Kibiashara
Matumizi ya Sifa
Usambazaji wa Stima, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Maji, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Gesi, Maegesho ya Gari
Vituo vya
50000000
Ada ya Agenti
*Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach kwa Zena*
*Distance* 500 Meters kuelekea Baharini na Kutoka lami ya Mwai Kibaki-Kwa Zena mpaka kwenye Kiwanja ni Meter 300
*Neighborhood* Kumejengeka nyumba za kisasa na majirani viongozi wa Serikali na wafanyabiashara wakubwa
-Kiwanja kina Barabara mbili ukuta na Mageti mawili.
*Kiwanja kina Building Permit ya Ghorofa 10 kwenda juu*
-Ukijenga floor za juu sana kuna view ya Bahari ya upande wa Kidimbwi
-Plot size Sqmtrs 2,250
-Document: Title Deed
*Bei shilingi Bilioni 1.3 maongezi kidogo*