design ya kifahari - prada original style
mawe / stone - yamepambwa vizuri, yanang'aa na hayaanguki
sole nzito - imara, haitelezi, inakaa vizuri
laini ndani - unaweza vaa siku nzima bila kuchoka
inafaa kwa - harusi, sherehe, kanisani, ofisini, na kutoka nje
rangi: black kama pichani