DESIGN KALI - Shirt nyeupe na maua ya gold + Short ya mustard - combination ambayo inang'ara
KITAMBAA BARIDI - Laini, nyepesi, kinafaa sana kwa joto la Dar na beach
2 IN 1 - Unapata Shirt + Short, huna haja ya ku-match tena
INAFAA POPOTE - Beach, kutembea na marafiki, photoshoot, au mtaani unatokelezea