Sio Tie ya kawaida - Hii ni DRIP!
Sifa:
• Material: Silk Premium - Inang'aa, laini, haikunjamani
• Design: Chrome Cross Pins 5 za chuma - Zinang'aa na zinaweza kutolewa / kubadilishwa
• Aina: ZIPPER TIE - Hakuna kufunga shida, unazip tu na umeivaa sekunde 2
• Rangi: Nyeusi Pekee - Inaenda na kila suti
• Inakuja na Box yake ya Kifahari kama pichani - Perfect kwa Zawadi
• Kuna Design 2: Ya Crosses na Ya Diesel Logo