CHAI Cadet Caps zimetua
Kofia kali sana za staili ya kijeshi / military, zinakaa poa sana na outfit yoyote - jeans, cargo, shorts.
Rangi zilizopo: Red, Brown, Blue, Grey
Free size - inajirekebisha nyuma, inamfit kila mtu
Unisex - za kiume na kike
Kitambaa kizuri na kigumu, hachanzi haraka
Design ya CHAI iliyoshonwa mbele - sio print ya kupukutika
Perfect kwa streetwear, photoshoot, na daily wear.
Stock iko kidogo, wahi mapema kabla hazijaisha!
Delivery Mbeya mjini, mikoani tunatuma.
Call / WhatsApp kupanga order yako sasa!