Nyingine, USB, Kiolesura cha MIDI, Ingizo la Maikrofoni, Spika za Masikio
Muunganisho
Kati
Kiwango cha Utendaji
4.6kg
Uzito
Ndio
Pamoja na Kesi
Arpeggiator, Betri, Onyesha, Playback, Adapta ya Moto, Kurekodi, Spika
Vipengele vya Kibodi
Chapa Mpya
Hali
Vitu vilivyomo kwenye hii "Full Package":
• Kibodi ya Yamaha PSR-E373: Ina funguo 61 zinazotambua mguso (touch-sensitive keys), sauti 622 za vyombo vya muziki zenye ubora wa hali ya juu, na programu nzuri sana za kujifunzia. Inakuja na kiegemezo chake cha kuwekea noti/karatasi za nyimbo.
• Adapta Halisi ya Yamaha (Original AC Power Adapter): Waya halisi wa umeme kutoka kiwandani kwa ajili ya kibodi hii (sio zile feki za bei rahisi).
• Sustain Pedal ya Hali ya Juu (Premium): Kwa ajili ya kuleta mguso na mlio halisi wa Piano Kuu (Grand Piano).
• Benchi la Kibodi Linalorekebishwa (Adjustable Bench): Kiti imara chenye sponji laini na ya kustarehesha.
• Stendi ya Kibodi ya Mtindo wa X (X-Style Stand): kiti, sustain pedal, adapter original,begi
Piga simu au WhatsApp076XXXXXXX