nyumba inauzwa – chanika nguvu kazi, dar es salaam
bei: tsh milioni 53 tu!
maongezi yapo!
location: chanika nguvu kazi, dar es salaam
ukubwa wa kiwanja: sqm 400
sifa za nyumba:
vyumba 3 vya kulala, kimoja master.
sebule.
dining.
jiko.
choo cha public.
umeme na maji vipo.
tiles zimewekwa.
gypsum ceiling ipo.
nyumba ipo ndani ya fence.
unatembea kwa miguu hadi stendi.
gari moja hadi mjini kariakoo!
service charge: tsh 30,000 tu!
fursa nzuri ya kumiliki nyumba yako chanika nguvu kazi!
fika site ukaione nyumba!
nikukutanishe moja kwa moja na muuzaji!
piga simu / whatsapp:
asset ni mtaji! usikose fursa hii.