Dar es Salaam, Temeke, Mbagala Kuu, siku 2 zilizopita
4 maoni
Yadi Ya Kulaza Magari Inakodishwa
+1
Ardhi ya Makazi
Aina
Kibiashara
Matumizi ya Sifa
2000sqm
Mita za mraba
Eneo lililopo mtoni kijichi linakodishwa kwa ajili ya matumizi ya kulaza magari/ malori, pia linaweza kutumika kuhifadhia vitu mbalimbali, kuna vyumba kwenye eneo ambavyo vinaweza tumika kama ofisi, maongezi yapo juu ya ujenzi ama marekebisho.