tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Viwanda Inauzwa
Imefaulu
Tanga City, Tanga, Maweni, siku 1 zilizopita
29 maoni

Eneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa Tanga

+1
Ardhi ya Viwanda
Aina
300000sqm
Mita za mraba
Kibiashara
Matumizi ya Sifa
Undeveloped
Development Status
Paved Road
Access Road
Cheti cha Kuishi
Kichwa
100000
Ada ya Agenti
Plot size: Ekari 145.84 (mita za mraba 590,284.87 / Hekta 59.03) katika ukanda maarufu wa viwanda wa Maweni. Eneo hili limegusa moja kwa moja barabara kuu ya lami ya Korogwe Road, inayounganisha Tanga na mikoa mingine ya ndani pamoja na nchi jirani. Eneo hili lipo kilomita 14 tu kutoka Bandari ya Tanga (lango kuu la mizigo Kaskazini mwa Tanzania) na kilomita 10 tu kutoka Uwanja wa Ndege wa Tanga (Tanga Airport). Matumizi Yanayopendekezwa Kutokana na ukubwa wake mkubwa na eneo lilipo, ardhi hii inafaa zaidi kwa: Kuanzisha Viwanda Vikubwa (Industrial Parks/Factories) Kuje (ICD - Inland Container Depot): Kutokana na ukaribu wake na reli na bandari. Yadi na Maghala (Yard & Godowns): Kwa ajili ya makampuni makubwa ya usafirishaji na uhifadhi wa mizigo inayotoka au kwenda nje ya nchi. Document: Eneo limepimwa lipo kwenye mipango miji
Eneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa TangaEneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa TangaEneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa TangaEneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa TangaEneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa TangaEneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa TangaEneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa TangaEneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa TangaEneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa TangaEneo La Ekari 145.84 Maweni Industrial Area Zinauzwa Tanga
TSh 404,800,000Outright Price
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif