Bei ya haraka (quick sale) toyota rav4 (old model)
hali ya gari: ipo vizuri sana,inawaka na kutembea bila shida yoyote ya kiufundi.engine na gear box ziko salama kabisa.
nyaraka: kadi halisi (original card) ipo mkononi. kumbuka : bima imeisha muda wake,tutaongea kwenye bei.
mahali ilipo: masasi mjini
bei: milioni 7 tu. inazungumzika kidogo