Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hati miliki.
Bei: Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.
Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: au .