Viwanja Vinauzwa Kisesa Kanyama Karibu Na Chuo Cha Mwanza City College
1/9
+1
1
+ 4
picha
Imefaulu
Mwanza, Magu, Kisesa / Magu, masaa 4 yaliyopita
119 maoni
Viwanja Vinauzwa Kisesa Kanyama Karibu Na Chuo Cha Mwanza City College
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
500sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Yes
Chaji ya Huduma
30000
Ada ya Agenti
VIWANJA VINAUZWA KISESA - KANYAMA
-viko pembeni ya chuo cha afya cha MWANZA CITY COLLEGE
-eneo zuri kwa kujenga hostel na fremu za biashara
-ukubwa wa kila kiwanja ni 25x20 =500 sqm
-bei Ni Milioni 7 na kuendelea
-ruksa kununua kimoja au zaidi
-malipo ni cash au Installment
-viwanja vipo 1 Km kutoka barabara kuu ya lami