nyumba mpya kabisa inauzwa fuoni - chini ya barabara kuu
bei: milioni 290 (inaongeleka)
mahali: fuoni, chini ya barabara kuu - sehemu ya biashara!
sifa kamili za nyumba:
ndani:
vyumba 4 vya kulala - 2 ni master self
sebule kubwa sana
jiko la kisasa
vyoo na bafu 3
nje:
chumba 1 master kimejitegemea nje
frem 2 za duka mbele - tayari kwa biashara!
fensi, umeme na maji vimeunganishwa
parking ya kutosha
muhimu: nyumba ni mpya kabisa haijaishiwa mtu!
wahi sasa kabla haijachukuliwa!
whatsapp / call077XXXXXXX