Dar es Salaam, Kinondoni, Kunduchi, masaa 5 yaliyopita
1 maoni
Nyumba Inauzwa Kunduchi Mtongani
+1
Ardhi ya Makazi
Aina
253sqm
Mita za mraba
Makazi
Matumizi ya Sifa
Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Maji, Mfereji wa Maji ya Mvua
Vituo vya
=>Mahali-kunduchi mtongani
=>Ukubwa-Kiwanja kina square m 253.04( Urefu = 14.61m
Upana = 17.32m)
=>umbal meta 100 toka barabara kuu ya kunduch ( kituo cha kushukia polis)
=> Gari inaingia mpaka kiwanjan kipo barabarani
=>mazingira saf kwa chini km kadhaa muonekane mzur wa bahar
=>umiliki % wamekaa hapa toka 2002 hivyo hakina changamoto yeyote
=>BEI TSHS 80,000,000 Maongezi yapo
=>NB: bado hakijapimwa hivyo hati hatujapata