Shamba Lenye Ukubwa Wa Heka 2 Linauzwa Na Mananasi Yake Lipo Kiwangwa
1/4
Bagamoyo, Pwani, Kiwangwa, 05/05
11 maoni
Shamba Lenye Ukubwa Wa Heka 2 Linauzwa Na Mananasi Yake Lipo Kiwangwa
+1
1
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
9800sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Maegesho ya Gari
Vituo vya
Yes
Chaji ya Huduma
50000
Ada ya Utafiti
50000
Ada ya Maendeleo
50000
Ada ya Kisheria
50000
Ada ya Agenti
Shamba lenye ukubwa wa heka mbili linauzwa pamoja na miche ya mananasi yake
nb: anashida na hela
bei anauza milioni kwa heka moja kwa zote mbili ni milioni maongezi yapo kidogo
hizo heka zipo msinune ni baada ya kupita kiwangwa kwa mbele kidogo ni lami kubwa ya msata road
kutoka lami kuu ya msata road mpaka unafika kwenye shamba hilo ni km 3 tu
na balabala ni nzuli mpaka shambani
haijalishi usafili uliokuwa nao unafika mpaka shambani
haya jamani sadakalawe hii