tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na viwanja vya kuuza
  4. Ardhi ya Biashara Inauzwa
Bagamoyo, Pwani, Kiromo, 22/10
6 maoni

Bahari Project

+1
Ardhi ya Biashara
Aina
8529sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Maegesho ya Gari, Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Gesi, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Cleared
Hali ya Maendeleo
Gravel Road
Barabara ya Ufikiaji
Certificate of Customary Right of Occupancy, Cheti cha Kuishi, Residential Licence, Haki ya Makazi
Kichwa
Halisia Real Estate inakuletea mradi mpya wa Bahari Project, eneo la kipekee lililo karibu kabisa na bahari, lenye mandhari nzuri ya kuvutia. Fikiria kujenga ghorofa au apartments za kisasa zenye mwonekano mzuri wa bahari, zinazoweza kuvutia wakazi na wageni wanaotafuta sehemu yenye utulivu na mandhari ya kipekee. Bahari Project ni fursa ya kujenga, kuwekeza na kufurahia uzuri wa bahari. Wasiliana nasi leo upate maelezo zaidi na ujipatie kiwanja chako katika mradi huu mpya.
Bahari ProjectBahari Project
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif