Bomba la maji taka, Maegesho ya Gari, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Gesi, Usambazaji wa Maji, Usambazaji wa Stima
Vituo vya
Fully Developed
Development Status
Dirt Road
Access Road
Residential Licence
Kichwa
500000
Ada ya Agenti
IMaeneo haya mawili yanauzwa
Loction Jaribu mpakani kabisa na Mkuranga pwani
Ukubwa Acre 6.5
Jingine ukubwa ni Acre 6
Maeneo sifa kama video inavyojieleza
Bei milion 100 kwa kila Eneo mazungumzo yapo
Karibuni maeneo yote yamegusa Sangos panafaa kuweka kiwanda au shughuli za uwekezaji maeneo yote yametazama barabara kuu ya mtwara ndani kuna mikorosho ya kutosha minazi ya kutosha