Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Gesi, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
20000
Ada ya Agenti
Eneo Linauzwa lipo mkuranga. Eneo Lina ukubwa wa ekari 10 ndani ya Eneo kuna kijumba kidogo na kisima cha maji cha mita 70.
Ndani ya Eneo kuna miti ya miembe. Kutoka kwenye balabala kubwa ya rami ya kwenda kusini mpaka kwenye Eneo kuna Umbali wa Km 5
Mmiliki wa Eneo anauza milioni 200M.maaongezi yapo Karibu kwa uwekezaji.