Dar es Salaam, Ilala, Kinyerezi, siku 1 zilizopita
40 maoni
2bdrm Apartment in Kinyerezi for Rent
+1
4
Ghorofa
2 vyumba vya kulala
bafu 2
tabata kinyerezi
Anwani ya Mali
kinyerezi
Jina la Mtaa
800sqm
Ukubwa wa sifa
Ghorofa
Aina ya mali
Imejengwa Mpya
Hali
Bila samani
Samani
2
Vyumba vya kulala
2
Bafu
Pets Allowed
Pets
20000
Ada ya malipo ya huduma
400000
Ada ya malipo
400000
Ada ya Wakala
400000
Ada ya Tahadhari
Umeme wa masaa 24
Ghorofa
Jokofu
Wardrobe
Kifaa cha kuosha sahani
Ibukizi ya Ibukizi
Balcony
Microwave
Mita ya Kulipwa Kabla
Eneo la Kula
Sakafu ya vigae
Makabati ya Jikoni
Rafu ya jikoni
Maji Moto
New classic apartment ni zipo mtaa mzuri sana
apartment hizi mpya zina sifa zifuatazo
#vyumba 2 vya kulala kimojawapo ni master bedroom
#sebule kubwa
#jiko kubwa la kisasa
#public toilet
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#paving
#garden nzuri
#parking
bei ni 400k x 6
ilipwe laki 4 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu
apartment hizi zipo kinyerezi shule na kutoka main road ya kinyerezi hadi kwenye nyumba ni km 1.5 usafiri ni bajaji sh 500 na ukishuka tuu kwenye bajaji unatembea dk 2 upo kwenye nyumba na njia ni lami na rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba