Tunauza trailer hii imara na ya viwango inayo endana na mahitaji yako iangalie vizuri ina tiangle tyre, enga pendwa, abs, wabco brake sytem, reserve tank aluminium lt800, spare tyre, vibebea spare tyre viwili, fire extingusher, tank la maji, ina mitungi mitatu ya upepo, ina uzito wa t7.1 mpaka t7.5 imara inabeba kikamilifu t32 mpaka t33 kwa mjibu wa wateja, zipo za busta na za spring, trailer inaitwa ANDA wanauza wazalishaji wenyewe na siyo mawakala hata hivyo baada ya maombi mengi ya wateja wetu tumeamua kuanzisha kituo au