tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Vitamini
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 15 yaliyopita
6 maoni

Vitamin E Softgel

+1
Other
Chapa
Viboreshaji vya Mfumo wa kinga
Aina
Vitamini E
Viungo Amilifu
Gel laini
Uundaji
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Vitamin E softgel Vitamin E ni kirutubisho kinachofanya kazi kama antioxidant yaan inasaidia kulinda seli dhidi ya uharibifu Kazi zake; Inasaidia kulinda kinga ya mwili kwa kusaidia seli za kinga kufanya kazi vizuri Inasaidia kulinda seli dhidi ya uharibifu kutokana na uwezo wake wa kuwa antioxidant Inasaidia ngozi kuwa na unyevunyevu na muonekano mzuri Inasaidia katika ukiaji na uimara wa nywele Inasaidia kuimarisha afya ya kucha pamoja na kusaidia lishe ya tishu za mwili Inasaidia kulinda seli za macho dhidi ya uharibifu Inasaidia kuimarisha afya ya kishipa ya damu pamoja na afya ya moyo Kopo moja lina supplement 100 Matumizi yake Unatumia supplement 2 kwa siku
TSh 30,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif