tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na utunzaji binafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Kalsiamu
  5. Quercetin Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, 35 min ago
1 maoni

Vitamin D3 + K2

Wins Town
Chapa
Virutubisho vya Moyo na Mfumo wa Mishipa ya Damu
Aina
Vitamini D tatu (Cholecalciferol), Vitamini K mbili (Menaquinone)
Viungo Amilifu
Capsule
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Haina ladha
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Baada ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Kopo
Furushi
Faida za Vitamin D3 + K2 inaimarisha mifupa na meno • D3 husaidia mwili kufyonza calcium • K2 husaidia kupeleka calcium kwenye mifupa, sio kwenye mishipa inalinda moyo na mishipa ya damu • K2 huzuia calcium kujikusanya kwenye mishipa, hivyo hupunguza hatari ya presha na matatizo ya moyo inaongeza kinga ya mwili • D3 huimarisha immune system • Inasaidia mwili kupambana na maambukizi ya mara kwa mara inapunguza maumivu ya mifupa na viungo Nzuri kwa watu wenye: • Maumivu ya mgongo • Miguu kuuma • Kuchoka sana bila sababu inasaidia afya ya misuli • Hupunguza misuli kulegea au kukaza mara kwa mara inasaidia absorption ya calcium bila madhara imeongezewa pia • Zinc – inaongeza kinga & afya ya ngozi • Magnesium – inasaidia misuli, usingizi & kupunguza stress • Quercetin + Vitamin B6 – antioxidant
TSh 60,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif