Vitamini C (Ascorbic Acid), Tata/changamano ya vitamini nyingi, Changamano la Madini Mengi
Viungo Amilifu
Vidonge
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Orange
Ladha
Bila Allergen, Yote ya Asili, Pombe Bure, Haina kemikali
Vipengele
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni-Victoria
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 06:00-20:00
Je,unajua machungwa yanaongeza vitamin C na vitamini Cmgs ngapi zinahitajika ndani ya mwili wa mwanadamu? Kwa siku mtu anatakiwa awe ameingiza vitamin C mgs 60 hadi 90 hivyo ni vizuri kwa siku kula machungwa 9 ili aweze kupata,Tunaona sio rahisi kufanya hivyo na matunda mengine yanatoa juice kidogo.Sasa forever imeweza kuleta vidonge vya kuongeza vitamin C kwa wingi.ukitafuna kimoja ni sawa na 60 mgs kwa siku unatafuna vinne unakuwa umeongeza vitamini C yakutosha.Na inaenda kuwa kinga dhidi ya magonjwa.Nakufanya ngozi itakate.karibu