Unahisi Muwasho Sehemu Ya Haja Kubwa Jua Ni Bawasiri Hiyo
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
1 maoni
Unahisi Muwasho Sehemu Ya Haja Kubwa Jua Ni Bawasiri Hiyo
+1
Forever Living
Chapa
Virutubisho vya Nishati
Aina
Aloe Vera
Viungo Amilifu
Kunywa
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Berry
Ladha
Haina kemikali
Vipengele
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Virutubisho
Aina ya Virutubisho vya Nishati
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni-Victoria
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 06:00-20:00
BAWASIRI ni nini?
Bawasiri ni Maambukizi na Uvimbe katika sehemu ya haja kubwa. Zipo Aina Mbili za Bawasiri kulingana na sehemu zinapotokea
1.Bawasiri ya Ndani
2.Bawasiri ya Nje
DALILI ZA BAWASIRI
>Uwasho sehemu ya haja kubwa. Unaweza kuwa mkali mfululizo au kwa kipindi
>Kupata maumivu makali wakati wa haja kubwa. Unaweza kuhisi kama unakatwa na kisu
>Kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa. Inaweza kuwa matone au nyingi
>Kuvimba sehemu ya haja kubwa. Uvimbe unaweza ondoka baada ya muda au kwa kuurejesha kwa kidole
>Mwili kuwa mchovu bila kufanya kazi
Sababu Zinazopelekea Bawasiri
*Choo kigumu
*Kuharisha kwa muda mrefu
*Kukaa kwa muda mrefu
*Uzito Mkubwa
*Urithi
*Wajawazito
*Ngono kinyume na maumbile
*Unyanyuaji wa vitu vizito
Athari Za Bawasiri
*Kufanyiwa Upasuaji
*Maumivu makali na kukosa ufanisi
*Kuathirika Kisakolojia