tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Dawa za kulala
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
5 maoni

Sleep Beauty

+1
21St Century
Chapa
Viboreshaji vya Mfumo wa kinga
Aina
Capsule
Uundaji
Yote
Kikundi cha Umri
Kupata usingizi mzito na wa haraka: Inamaliza tatizo la kugaagaa kitandani na kumpa mteja usingizi mnono usiku kucha. Kutuliza akili na msongo wa mawazo: Viambato vyake vya asili vinatuliza mfumo wa neva na kuondoa wasiwasi baada ya siku ndefu ya kazi. Kung'arisha na kurudisha urembo wa ngozi: Inachochea mwili kuzalisha collagen usiku, kuzuia makunyanzi, na kuondoa madoa meusi chini ya macho. Kuamka ukiwa mchangamfu na mwenye nguvu: Tofauti na dawa za hospitali, hii haileti uchovu, kizunguzungu, wala "hangover" asubuhi. Kurekebisha mzunguko wa saa ya mwili: Inafaa sana kwa watu wanaofanya kazi za usiku (night shifts) au wanaosafiri kubadilisha mazingira (jet lag)
Sleep Beauty
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif