tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Capsule Vitamini na virutubisho
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 4 yaliyopita
1 maoni

Salvora Rhodiola Rosea Capsule

+1
Other
Chapa
Nyingine
Aina
Rhodiola
Viungo Amilifu
Capsule
Uundaji
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Salvora Rhodiola Rosea Capsules Hizi supplement zimetengenezwa na mmea unaoitwa Rhodiola Rosea ambao husaidia mwili kukabiliana na hali ya stress na uchovu wa mwili au akili Kazi zake; Husaidia mwili kukabiliana na stress hasa wakati wa kazi nyingi,presha za maisha au uchovu kutokana na msongo wa mawazo Husaidia kupunguza uchovu wa mwili pamoja na akili Husaidia mwili kuwa na uwezo mzuri wa kufanya kazi bila kuchoka haraka Husaidia kuongeza concentration yaan kuongeza umakini wakati wa kufanya kazi Ni nzuri kwa watu wanaofanya kazi zinazohitaji kufikiria na kuwa makini kwa muda mrefu Husaidia mood na ustahimilivu wa kihisia wakati wa stress Husaidia mwili kurecover kutokana na uchovu unaohusiana na stress Kopo moja lina supplement 60 Matumizi yake; Unatumia supplement moja kwa siku
TSh 30,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif