tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Jeli ya Kifalme
  5. Dume Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, 22/05
1 maoni

Royal Jelly

+1
1
Beachbody
Chapa
Viboreshaji vya Mfumo wa kinga
Aina
Antioxidant
Viungo Amilifu
Capsule
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Nyingine
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Baada ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
ROYAL JELLY ( MAZIWA YA NYUKI). Nyuki huwa na mazao mengi kama Asali, propolis, ntaa, sumu ya Nyuki na maziwa ya Nyuki ( royal jelly). Royal ni chakula special kwa malkia wa Nyuki kwa ajili ya kumuwezesha katika shughuli zake za uzazi. Cha na pia ndio chakula kinacho msaidia kuishi maisha marefu zaidi kuliko Nyuki wengine. Malkia wa Nyuki anaweza kuishi kwa wastani wa mwaka 1 Hadi miwili, wakati Nyuki wa kawaida uishi chini ya mwaka mmoja. Pia binadamu tunapo tumia Royal jelly upata faida kama hizo: Miungoni mwa faidia ni: Kupunguza kasi ya kuzeeka. Antioxidants kwa ajili ya kutibu na kuzuia magonjwa mbalimbali hasa mivimbe na saratani. Inaongeza Kinga ya mwili. Inaongeza uzazi kwa kurutubisha mayai kwa mwanamke na kuboresha mbegu kwa mwanaume. Ina Kinga na kutibu tezi Dume.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif