Relieve sciatica capsules
Sciatic nerve ni neva inayo safirisha ujumbe kutoka kwenye ubongo na uti wa mgongo kwenda kwenye misuli ya miguu ili uweze kutembea,kusimama na kusogeza mguu
Faida za relieve sciatica capsule;
Husaidia kupunguza maumivu ya neva ya sciatica yanayosambaa kutoka mgongoni mpka mguuni
Husaidia kupunguza hisia za kufa ganzi na kuwashwa miguuni zinazotokana na msukumo wa neva
Husaidia kuboresha uwezo wa kutembea na kufanya shughuli za kila siku kwa watu wenye usumbufu wa sciatica
Husaidia kupunguza maumivu ya mgongo wa chini yanayohusiana na sciatica
Hutoa virutumbisho vinavyosaidia kulina na kuimarisha mfumo wa neva
Kopo moja lina supplement 120