tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Omega 3
  5. Complex Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 20 yaliyopita
5 maoni

Provitality

+1
Neolife
Chapa
provitality
Aina
Nyingine
Viungo Amilifu
Vidonge
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Nyingine
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Baada ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Sanduku la Karatasi
Furushi
Pro vitality. ina bidhaa nn ndani yake kuna Tre en en, Omega-3 , Carotenoid complex,na Multi, hii bidhaa muhimu sana kwa kila mtu hata kama haumwi kwa kua hii ni msingi wa Afya.Tre en en ni mafuta yaliyokamuliwa kutoka kweny viin vya nafaka kamili,kazi yake ni chakula cha cell.Carotenoid ni mkusanyiko wa rangi za matunda na mboga za majani hii inaongeza kinga ya mwili ikiwemo saratani pia husaidia macho kuona vizuri.Omega3 salmon ni mafuta ya samaki ,kazi yake yanaondoa mafuta machafu kwenye mishipa ya damu,husaidia kushusha pressure kwa haraka ,afya ya macho,huongeza kumbukumbu kwa watoto na watu wazima na inazuia magonjwa ya kurithi
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif