tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Kalsiamu
Dar es Salaam, Kinondoni, 30/05
1 maoni

Okoa Utumbo Wako Na Choo Kigumu

+1
Forever Living
Chapa
Viboreshaji vya Mfumo wa kinga
Aina
Vitamini C (Ascorbic Acid), Aloe Vera, Aloe Vera, Vitamini C (Ascorbic Acid)
Viungo Amilifu
Vidonge
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Berry
Ladha
Yote ya Asili, Yote ya Asili
Vipengele
Baada ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
Habari, je unafahamu moja ya changamoto zinazoweza kuleta matatizo mengi sana mwilini mwako ni kuwa na choo kigumu(constipation) na mara nyingi hali hii hutokea kwasababu ya dehydration kukaukiwa kwa maji na pia kukosa lishe nzuri kwa ajili ya kuboresha mfumo wako wa chakula, sasa madhara ya hii ni kuwa na utapia mlo kwa watoto wadogo kwasababu ya lishe kushindwa kufyonzwa mwilini kwasababu mmeng'enyo wa chakula haufanyi kazi vizuri, pia matatizo ya bawasili kwa jinsia zote mbili kwasababu yakutumia nguvu kubwa unapojisaidia, pia matatizo ya nguvu za kiume kwakuwa pelvic floor miscle ulioshikilia sehemu ya msuli mkuu wa uume upo maeneo ya karibu na haja kubwa hivyo kutumia nguvu kujisaidia huweza kupelekea mshipa huo kuteguka na hivyo kuexperience changamoto kama uume kusimama legelege, sasa haya yote ni ya nini kama suluhisho ni kuboresha tumbo lako, sasa forever active pro B ina nutrients nyingi mno ikiwemo aloe vera na calcium kukupa suluhisho
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif