tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Viongeza Mfumo wa Kinga
  5. Mychoco Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, 28/05
7 maoni

Mychoco Virutubisho

+1
Nature's Way
Chapa
Viboreshaji vya Mfumo wa kinga
Aina
Kunywa
Uundaji
Watoto
Kikundi cha Umri
Sanduku la Karatasi
Furushi
. mychoco ni chocolate iliyosagwa katika unga laini wa cocoa ili kumsaidia mtumiaji kuutumia kwa urahisi zaidi hata kwa kulamba na kuongezewa virutubisho pekee vyenye manufaa kwa afya ya mwili. mychoco inaweza kuongezewa maji ya moto, baridi au maziwa na kubaki na radha yake ileile ya chokoleti huku ikiukinga mwili wako na mashambulizi ya magonjwa. faida za kirutubisho cha mychoco 1.inaongeza hamu ya kula. 2.inaimarisha mfumo wa kinga ya mwili. 3.inakinga na kutibu kubanwa kifua. 4.nzuri kwa wale wenye matatizo ya kuishiwa damu. 5.kuimarisha ukuaji na utendaji kazi wa ubongo. 6.inapambana na ugonjwa wa kusahau.kusaidia ubongo kuongeza umakini. 7.inaondoa sumu mwilini. inasaidia kuondoa maumivu ya kichwa. 8.inasaidia katika kuboresha mfumo wa mzunguko wa damu. kwa maelezo zaidi au kuweka order yako wasiliana nasi kupitia
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif