Vitamini C (Ascorbic Acid), Tata/changamano ya vitamini nyingi, Antioxidant, Changamano la Madini Mengi
Viungo Amilifu
Poda
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Berry
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Baada ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Fimbo
Furushi
Uwasilishaji
Dar es Salaam • Kinondoni
1 mchana
TSh 5,000
Nchini kote
1-2 mchana
TSh 10,000 - 15,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
Ifahamu supergreens bidhaa yenye mchanganyiko wa mboga mboga na matunda zaidi ya ishirini, miili yetu inakuwa acidic mara nyingi kwa sababu tunatumia kemikali siku nzima kutoka kwenye vyakula na vinywaji kiasi cha kwamba miili yetu inakuwa acidic, hii ndio chanzo kikubwa cha mlipuko wa magonjwa yasiyoambukizwa kama sukari na saratani,
supergreens itakusaidia kubalance PH ya mwili wako kutoka acidic kwenda alkaline kwa kukupa wewe virutubisho vinavyoondoa acid mwilini lakini pia ni viondosha sumu na kukupunguzia risk ya magonjwa mengi sana,
hii supergreens hutumiwa pia na watu wenye kisukari kubalance kiwango cha sukari kwenye damu na kurudisha kuwa sawa, inakupa mmeng'enyo mzuri lakini rotuba ya mboga za kijani ambazo mwili hukosa utazipata huku. kwa maelezo na bidhaa zingine kama hizi usiache kutupigia kwa namba zetu hapo chini