Docosahexaenoic Acid (DHA), Eicosapentaenoic Acid (EPA), Lutein, Lycium barbarum (Goji), Omega-tatu, Vitamini A, Vitamini E, Zinki
Viungo Amilifu
Vidonge
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Haina ladha
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Baada ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Uwasilishaji
Dar es Salaam • Kinondoni
1 mchana
TSh 5,000
Nchini kote
1-2 mchana
TSh 10,000 - 15,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
FOREVER EYE PACKAGE
1. IVISON, hii ina lutemax ikiwa imedhibitika kwenye maabara za kimataifa marekani.
Ina vitamin A kwa wingi kwa ajili ya tatizo la ukungu na mtoto wa jicho, inafanya vizuri ikiwa na zinc ambayo itasafirisha vitamin A kutoka kwenye ini mpaka kwenye mboni ya jicho.
Ina madini ya carotenoids yote kuifanya iwe na vitamin E kwa wingi kuongeza kasi ya kuchambua kitu kwa lens ya jicho na kusafisha macho.
Ni nzuri kw shida ya kuona karibu au mbali, lutein iliyopo ndani yake, inachambua object vizuri.
2. LYCIUM PLUS ina goji berries pamoja na licorice kutoka kwenye milima ya china inayoponya matatizo yanayoyakumba macho, ni kiondosha sumu kizuri sana pamoja na kinga ya mwili.
3. ARCTIC SEA, Ina omega 3 kwa ajili ya mishipa ya akili na nerve za macho, huondoa maumivu ya kichwa yanayoletwa na macho kutoona vizuri.