tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Viongeza vya urembo
  5. Complex Vitamini na virutubisho
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
8 maoni

Infinite Firming Complex

+1
Forever Living
Chapa
Virutubisho vya Urembo
Aina
Aloe Vera, Antioxidant, Collagen, Vitamini B saba (Biotin), Vitamini C
Viungo Amilifu
Vidonge
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Nyingine
Ladha
Yote ya Asili, Bila Allergen, Haina kemikali, Bila gluten, Nyingine
Vipengele
Kabla ya Mazoezi
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Firming Complex inafanya kazi ndani ya mwili, pia Inalenga kusaidia mfumo wa ngozi kupambana na uzee kwa nguvu zaidi. Sifa zake (Features) ✓ Beauty from Within: Inatibu kile ambacho cream haiwezi kufika (tabaka za ndani za ngozi). ✓ Haina Gluten (Gluten-Free): Inafaa kwa watu wenye mzio wa ngano au wanaozingatia mlo usio na gluten. ✓ Msaada wa Mwili Mzima: Tofauti na cream unayopaka usoni tu, hizi tablet zinasaidia ngozi ya mwili mzima (mikono, miguu, tumbo, n.k.) kuwa imara. Jinsi ya Kuitumia ✓ Dozi inayopendekezwa ni tablets mbili (2) kila siku. ✓ Kwa matokeo bora, meza asubuhi (unaweza kumeza kabla au baada ya chakula). Muhimu: Ikiwa wewe ni mjamzito, unanyonyesha, au una hali yoyote ya kiafya inayohitaji uangalizi wa daktari, ni vizuri kushauriana na daktari wako kabla ya kuanza virutubisho vyovyote vya kumeza.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif