tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Kalsiamu
  5. Folic Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, 27/05
3 maoni

Increase Rate of Consive a Pregnant

+1
1
Forever Living
Chapa
Virutubisho vya Afya ya Wanawake
Aina
Vitamini E, Calcium Pyruvate, Vitamini B Tisa (Folic Acid), Changamano la Madini Mengi, Zinc Sulfate, Tata/changamano ya vitamini nyingi
Viungo Amilifu
Vidonge
Uundaji
Wanawake
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Berry
Ladha
Yote ya Asili, Haina kemikali
Vipengele
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni-Victoria
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 06:00-20:00
1. *Fields of green* Ni aina tofauti tofauti ya mboga mboga za majani ambazo zinasaidia kubalance kiwango cha sukari na kusaidia pia kwa wale wenye kutokupata choo kwa urahisi kipindi cha uja uzito au wakati wa kawaida 2. *Arctic sea* Ni mchanganyiko wa mafuta ya *samaki* na mafuta ya *mzaituni*(olive oil) Husaidia sana katika ukuaji wa ubongo wa mtoto mdogo akiwa tumboni mwa mama, kupunguza mafuta mabaya (cholestoral), nzuri kwa macho na ngozi pia. 3. *Absorbent C* Hii ni vitamin C ambayo inasaidia katika kulisha ngozi ya mama na ya mtoto. Ni vitamu. 4. *Forever B12+* Hii bidhaaa ni mchanganyiko wa vitamin B12 na Folic acid ambazo ni nzuri katika kuongeza damu na kusupport formation ya mifupa ya mtoto. 5. *Calcium* Ni muhimu sana katika kuzalisha calcium ambayo mama inabidi aipeleke kwa mtoto wake akiwa tumboni Bidhaa zote hizi zinatumika na kufika siku 30 na nyingine zaidi Kumbuka hizi si dawa ni virutubisho
TSh 250,000
19 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif