tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Omega 3
  5. Arctic Vitamini na virutubisho
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
1 maoni

Forever Artic Sea

+1
Forever Living
Chapa
Mafuta ya Samaki na Omegas (EPA DHA)
Aina
Aloe Vera, Asidi ya Oleic, Omega-tatu, Vitamini E
Viungo Amilifu
Gel laini
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Nyingine
Ladha
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Faida za Arctic Sea ​Afya ya Moyo na Mishipa ya Damu: Husaidia kusafisha mishipa ya damu kwa kuondoa mafuta mabaya (cholesterol) na kupunguza hatari ya shinikizo la juu la damu (BP) na kiharusi (stroke). ​Uwezo wa Akili na Kumbukumbu: Mafuta ya DHA yaliyomo ni chakula muhimu kwa ubongo. Husaidia kuongeza umakini, kumbukumbu, na kuzuia magonjwa ya kusahau (kama Alzheimer’s) kadiri umri unavyosogea. ​Viungo na Mifupa: Husaidia kupunguza maumivu ya viungo (joints) na uvimbe, hivyo ni nzuri kwa watu wenye changamoto za baridi yabisi au arthritis. Kwa nini Arctic Sea ni ya Kipekee? ​Arctic Sea inachanganya Omega-3 na Omega-9. Uwiano huu ni muhimu kwa sababu husaidia mwili kufyonza virutubisho hivi kwa urahisi zaidi na kufanya kazi kwa haraka kwenye mishipa ya damu.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif