Vitamini D, Vitamini D, Antioxidant, Vitamini C (Ascorbic Acid), L-Arginine, Vitamini C (Ascorbic Acid), Antioxidant
Viungo Amilifu
Poda
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Vanilla
Ladha
Yote ya Asili, Yote ya Asili
Vipengele
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Canister
Furushi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
Tatizo la moyo mara zote hutokea kutokana na mzunguko wa damu katika arteries na veins kuingiliwa na wingi wa mafuta au cholesterol , damu inapokuwa inaingia kwa shida kwenye moyo ndio huwa inaleta tatizo la moyo, kupumua, na hata muda mwingine huleta heart failure au hypertension (mshtuko wa moyo) sasa tatizo hili hutokea tu kwa sababu mapigo ya moyo hayaendi sawa kwa kuwa mzunguko wa damu unakuwa blocked na cholesterol, sasa kampuni ya forever living imekuja na bidhaa na supplement muhimu sana kwa kuboresha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta mabaya yaliyopo kwenye mishipa ili uweze kuondokana na athari zinazotaka kujitokeza mbeleni, bidhaa hizi zina wingi wa l-arginine sana na madini ya calcium ambayo ni muhimu kuboresha mzunguko wa damu mwili mzima, kukupa afya ya uzazi pamoja na nguvu za kiume na pia kuongeza kinga ya mwili.