tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Antibiotiki
  5. Brain Vitamini na virutubisho
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
1 maoni

Forever Active Pro B

+1
Forever Living
Chapa
Viboreshaji vya Mfumo wa kinga
Aina
Aloe Vera, Antioxidant, Prebiotic, Zinki
Viungo Amilifu
Gel laini
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Nyingine
Ladha
Yote ya Asili, Bila Allergen, Bila gluten, Mla mboga
Vipengele
Kabla ya Mazoezi
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Faida za Forever Active Pro-B ​Mmeng'enyo Bora wa Chakula: Husaidia kurekebisha mfumo wa mmeng'enyo, hivyo kupunguza matatizo kama kuvimbiwa (constipation), gesi tumboni, na kiungulia. ​Kuimarisha Kinga ya Mwili: Zaidi ya 70% ya kinga ya mwili inatokea kwenye mfumo wa chakula. Bakteria hawa wazuri husaidia kuzuia bakteria wabaya wasidhuru mwili. ​Unyonyaji wa Virutubisho: Husaidia utumbo kunyonya virutubisho muhimu kutoka kwenye chakula unachokula, kuhakikisha mwili unapata faida kamili ya mlo wako. ​Afya ya Akili na Mood: Kuna uhusiano mkubwa kati ya tumbo na ubongo (Gut-Brain Axis). Kuwa na tumbo lenye afya husaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuboresha hali ya furaha. ​Baada ya Antibiotics: Ikiwa umetumia dawa za antibiotics (ambazo huua bakteria wote, wazuri na wabaya), Active Pro-B husaidia kurudisha upya bakteria wazuri
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif