Vitamini C (Ascorbic Acid), Aloe Vera, Antioxidant, Vitamini B
Viungo Amilifu
Kunywa
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Vanilla
Ladha
Yote ya Asili
Vipengele
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Sanduku la Karatasi
Furushi
Virutubisho vya Kupoteza Uzito
Aina ya Bidhaa za Kupoteza Uzito
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Open
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
FIT PROGRAM n program bora sana ya kupunguza uzito na nyama zembe sanasana tumboni, hii FIT PROGRAM ina undwa na hatua mbili muhimu ikiwemo C9 PROGRAM na F15 PROGRAM, ni hatua muhimu kuzifata ukiwa kwenye njia yako ya kupungua, hatua ya kwanza ni muhimu kusafisha mwili,kuondoa sumu mwilini, kuondoa taka mwili na kupunguza uzito wa kilo 6 mpk 9 kwa siku tisa, hatua hii ni muhimu ili unapopungua kilo zako zisijirudie tena kama zamani unenepe tena, baada ya hapo utafata hatua ya pili kama bado kilo zako ni nyingi na utapunguza kilo zingine 10 mpaka 12 kwa wiki mbili na combination ya hatua zote mbili hukupeleka kupunguza mpaka kilo 18 kwa mwezi mzima, utanufaika pia na ngozi nzuri mno, kuniskia una nguvu wakati wote, utaongeza kinga ya mwili, utasafisha choo n.k