Fish oil/Omega 3/Salmond oil/Mafuta ya samaki
Mafuta ya samaki ni product nzuri sana inafaa kwa watoto watu wazima pamoja na wazee
Mafuta ya samaki yanasaidia vitu vifuatavyo kwenye mwili;
Husaidia kuondoa pressure ya kupanda na kushuka
Huondoa cholesterol kwenye mishipa ya damu
Husaidia kukukinga na magonjwa ya moyo
Husaidia kuongeza kinga ya mwili na kulisha cell kwa kiwango cha juu
Husaidia ukuaji wa ubongo na kutunza kumbukumbu
Kwa wamama wajawazito husaidia mtoto kuzaliwa akiwa na afya njema
Kuongeza uwezo wa kuona
Kupunguza kasi ya uzee
Huimarisha afya ya ngozi
Husaidia kuimarisha viungo yaan mifupa
Husaidia kuondoa allergy kwa watoto
Husaidia kuondoa constipation
Husaidia kurudisha ute ute kwenye maungio
Kopo moja lina supplement 100