tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Bidhaa za kupoteza uzito
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 iliyopita
3 maoni

Fibre Tablet

+1
NeoLife
Chapa
Bidhaa za Kupoteza Uzito
Aina
Vidonge
Uundaji
Yote
Jinsia
Watu wazima
Kikundi cha Umri
Haina ladha
Ladha
Yote ya Asili, Kikaboni
Vipengele
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Virutubisho vya Kupoteza Uzito
Aina ya Bidhaa za Kupoteza Uzito
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Tabata, Kinyerezi
Call and whatsapp
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-22:00
Dar es Salaam • Kinondoni
Mwenge bus station
Mwenge Complex
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 09:00-18:00
*1. Fibre tablets* Vyakula vingi (hasa vya nafaka) tunavyokula havina nyuzinyuzi za kutosha kwa sababu ya jinsi vinavyoandaliwa mfano kuondoa ganda la juu (kukoboa). Pia hatuli matunda na mbogamboga za kutosha. Fibre tablets imetengenezwa kwa nyuzinyuzi kutoka katika vyakula mbalimbali ambavyo ni nafaka, matunda na mbogamboga *Kazi za fibre tablets* _ Inakufanya ujisikie umeshiba hivyo inazuia kula kiasi kikubwa cha chakula. _ Ni nzuri kwa watu wanaotaka kupungua uzito (hasa wale ambao hawawezi kudhibiti hamu ya kula) _ Inaondoa mafuta mabaya mwilini _ Inadhibiti kiwango cha sukari katika damu (hivyo ni nzuri sana kwa wenye tatizo la Kisukari) _ Inaimarisha mfumo wa umeng'enywaji wa chakula, mfumo wa kinga mwili na afya kwa ujumla _ Inazuia na kuponya tatizo la kukosa/kufunga choo (constipation)
TSh 60,000
Inaweza kujadiliwa

TSh 55,500

≥ vipande 10
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif